Naombeni audio ya hizi nyimbo;
1. Leonore ya Bokilo
2. Lala salama Chiku ya Zahir Ali Zorro
3. Selina ya Muhidini Ndolanga
4. Nawashukuru wazazi ya nani sijui lakini Ndolanga yumo.
Aiseen kuna wimbo nilikuwa nausikilizaga 2004 kwenye mashairi wanasema "anasema niachane na mwanae bado anasoma eeh" halafu kuna mwingine jamaa anaimba "nimedharauliwa sana"