Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

ALPARSLAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
467
Reaction score
1,181
Wakuu nimemaliza chuo mwaka huu hata joho bado sijavaaa yaani Sitaki kuwa kama graduates wengine kuendekeza aibu au kuwa na yale mawazo ya watu watanionaje hapana.

Yaani bila kupoteza muda hapa Nnina wazo la biashara mbili. Biashara ya kwanza nataka nianze kukaanga mihogo.

Nyingine nataka nianze kukaanga kuku/miguu ya kuku/vichwa vyake n.k.

Biashara ipi kati ya hiyo inafaa zaidi?

Naomba mwongozo wa hizo biashara maana mimi sijawahi kufanya biashara ya aina yoyote.

Nipo Dar Buguruni.
 
Mtaji wako ni kiasi gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…