Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

Wale dagaa wa kukaanga nao ukiweka na pili pili nzuri aisee hawalali. Kuna mpemba hapo keko alinifanya nikawa mteja wake, sio pili pili ile.
 
Vizuri sana! Unafikiri kwa sababu uko Field, tembelea maeneo & WA Fanya biashara hiyo ili kupata ABC(market Evaluation)
 
Wale dagaa wa kukaanga nao ukiweka na pili pili nzuri aisee hawalali. Kuna mpemba hapo keko alinifanya nikawa mteja wake, sio pili pili ile.
Kuna sister kanifundisha jinsi ya kutengeneza pili pili Alooh watu wanakuja kwa Sababu ya pilipili
 
Hongera sana Mkuu kwa kuwa mbunifu, kujiongeza badala ya kuketi na kulalamika. Anzia ulipo, anza ulivyo, Nia ya dhati itakufikisha kwenye Mafanikio yako! Naomba ni'tag' siku utakayoanza Biashara. Nitafurahi kukutembelea na kukuongezea Mtaji zaidi kama motisha ya kukuza Biashara yako. 👏👏👏👏👏
Sawa mkuu
 
Kakaange miguu ya kuku kwenye geti la ikulu magogoni nasikia mama samia anapenda sana vichwa vya kuku na miguu ya kukaanga
 
Back
Top Bottom