Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Linganisha na idadi ya majimbo yaliyokuwepo 1995!Ni wabunge wangapi wa upinzani walioshinda uchaguzi 1995 kisha linganisha na uchaguzi wa2010 2015
Wanatafuta sababu ili sheria ikifuatwa waanze kulalama kama kawaida yaoKule kuchukua form aende na viongozi wachache. Kwani hamna Office za Chadema hapo Dodoma ?Mlitakiwa mfanye kama walivyofanya CCM.Mkiandamana wote kwenda NEC mtafutiwa Chama.
Yah ... ...... you hit the nail right on the head.Instagram, twitter na JF katika ubora wake, tunapigwa sindano ya ujinga. MMIMI NIPO DODOMA KWA HILI NITAWALETEWA UZI WAKE KAMA KUNA KWENDA KUCHUKUWA FORM. S uala la wingi au hapana tutaona kesho. Lazima tujitahidi tupunguze udikteta wa JF.
Dah mnamuonea Bashir jamani
Sana, tena sana tuu. 1995 ulikuwepo ushabiki na sio kutambua nini wanapaswa kufanya.Wewe unaamini leo upinzani una nguvu kuliko 1995?
Sio vizuri kwenda wote, lakini sio sahihi kusema "mlitakiwa mfanye kama walivyofanya ccm"Kule kuchukua form aende na viongozi wachache. Kwani hamna Office za Chadema hapo Dodoma ?Mlitakiwa mfanye kama walivyofanya CCM.Mkiandamana wote kwenda NEC mtafutiwa Chama.
Hamna kitu mkuu! U know it!
Angalau zile harakati zako za kutopiga kura hadi tume huru ya uchaguzi ipatikane zilikuwa na maana! Lakini inavyoonesha hata we umeahabebwa na upepo wa Lisu.
Baada ya oktoba thread zitakazo tawala humu ni kuibiwa kura basi, imeisha hiyo hadi 2025
Lisu huyu huyu aliyemtosa Dr Slaa baada ya ujio wa Bilionea Lowassa aliyeikodi Chadema!!Sana, tena sana tuu. 1995 ulikuwepo ushabiki na sio kutambua nini wanapaswa kufanya.
Ndio mwaka ambao wanaccm waligombea kwa mwembwe kama wapinzani.
Hivyo hivyo wanaccm wakaja na mbwembwe kama wapinzani 2000 Lipumba, 2010 Dr Slaa na 2015 Lowassa. Wote chui ndani ya ngozi ya kondoo.
Sasa hivi tunaye kondoo wetu ndani ya kucha na meno ya Simba, Lissu
Na wewe hofu inakusaidia nini?Uongo unakusaidia Nini?
Wabongo mlivyo waoga , nani atathubutu kuandamanaCdm hagombanii kuwa chama kikuu cha upinzani. Kama mnaamini kunajisi box la kura kutawabeba, safari hii mjiandae kuandika historia mpya ya udictator wa kumwaga damu.
Haya basi kama walivyofanya ACT.Sio vizuri kwenda wote, lakini sio sahihi kusema "mlitakiwa mfanye kama walivyofanya ccm"
Kwani wakifanya ccm ndio mwongozo?
Advise perfectly receivedDah..
Dont drink n drive duude!!