Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

BINAFSI 2015 mafuriko ya mamvi yalinipa confidence sana ya kujigamba mtaani, maana niliona mafuriko kila kona kuzidi CCM.
Ndo maana nimetoa tahadhari.
Mimi mafuriko ya kusomba watu kutoka miji mingine na kuwatelekeza mjini ndio yalinishangaza ndio maana nikaeleza nilichokiona kwny kampeni za Ccm.
 
Lissu alindwe sana wasije wakatuumizia mtu wetu. CCM wajiandae kisaikolojia. PEOPLEEEEEEEEEEEEEESSS!!!!!.......
Wakuu habari za leo

Najua nyie ni wazima lengo la kuandika huu uzi hapa napenda tu kuwakumbusha kuwa Tanzania haina democrasia kabisa.

Sababu hatufuati pillars of Democracy mfano FREE MASS MEDIA hii kitu ilishakufa 5 years ago tusishangae Lisu kwenda kusemea kenya huku akipata Nafasi ya kuongea TCRA watafanya mpango sauti yake isisikike inakuwa kama tunaangalia Pornograph.

Cha pili ways of improving democracy in any country ni by increasing role of opposition parties kwetu hapa ukiwa mpinzani unaonekana kama jambazi au mhalifu kabisa ata ukipigwa na risasi serikali haikuhangaikii kabisa vyama vya siasa vimeminywa sana CCM tu inatamba hadi wasanii wote wako CCM.

VIJANA MNAOSHABIKIA CCM NA KUMCHEKA LISU KISA KAWA KILEMA NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA HAWA WALIOMPIGA LISASI NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA.
Ili mradi tu ,Vyombo vyetu vya Dola vinaendelea kuunga chama cha CCM

HAMNA DEMOKRASIA.
Vyombo vya habari vinafikiria kwa tumbo siku hizi
Hata sisi hatuna uhuru kiasi hicho, tuvumiliane tu.

Magufuli ananyoosha nchi
Sasa Ulitaka Warushe sauti gani yahuyo Msaliti na Mropokaji!
Mtu Kila kukicha nikuiombea nchi mabaya
Hiyo Demokrasia peleka ufipani hatuihitaji
"Hujafa hujaumbika" imetumika sipo kabisa. Na haifanani na hoja yako.
Tangu tuwe na uhuru Tanzania Hatujawahi kuwa na mgombea Uraisi wa ajabu kama huyo bwana

Mtu ambaye hajui aongee nini na wapi na Kwa Wakati gani?

Hiyo ni wakupingwa na kila mtu mwenye akiri timamu
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
Rais anayengoja kuapishwa !! Dunia inakwenda kushangaa kinachokwenda kutokea Tanzania....mbeba naono huyo!!
Lissu The Great
Wewe unasemaje kauli yako ni ipi kuhusu haya mafuriko ya Lisu?
Magufuli angeanza kufungasha mizigo yake ikulu imeisha hiyo
Kwa kutumia katiba gani?!
Lowassa aliwaachia cdm kiki kubwa sana. Sitegemei lissu kuifikia ile kiki hata kwa mbali. Narudia act wazalendo ndio ataenda kua chama kikuu cha upinzani baada ya huu uchaguzi. Na hata act atapitia zanzibar sio bara .
Cha muhimu naomba Magufuli atuachie Tausi wetu asije akaondoka nao hapo chato.
Go lissu go lissu we love you
 
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!

IMG_9513.png

Sijui kama hii itakuja kujitudia. Pamoja na hayo matokeo tuliyaona. Tumeishawazoea!!
 
Haha,

Kumbe bavicha mnasafiri na mgombea wenu kila mahali ili kuonekana anakubalika.

Fake fake.
 
Lowassa aliwaachia cdm kiki kubwa sana. Sitegemei lissu kuifikia ile kiki hata kwa mbali. Narudia act wazalendo ndio ataenda kua chama kikuu cha upinzani baada ya huu uchaguzi. Na hata act atapitia zanzibar sio bara .

Cdm hagombanii kuwa chama kikuu cha upinzani. Kama mnaamini kunajisi box la kura kutawabeba, safari hii mjiandae kuandika historia mpya ya udictator wa kumwaga damu.
 
Cdm hagombanii kuwa chama kikuu cha upinzani. Kama mnaamini kunajisi box la kura kutawabeba, safari hii mjiandae kuandika historia mpya ya udictator wa kumwaga damu.
Lisu hatapata hata 20% ya kura na hakuna lolote mtafanya kwakuwa atakuwa ameahindwa kihalali kabisa!

Lisu hana mtaji mwingine wowote wa watu nje ya chama chake.

Narudia Lisu hata pata hata asilimia 20 ya kura. Kama unabisha tubet
 
Kuna Corona jamani msiende kumsindikiza Lisu.
 
Back
Top Bottom