Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
Usituangushe kwenye habari picha
 
Kama watu walewale wanasafiri toka mikoa mingine kumsindikiza kila aendako, haitampa picha halisi ya walio tayari kumpigia kura ni wangapi.

Yasifanyike makosa yale yale yaa 2015 mafuriko kila kona, kumbe watu wanasafiri kama hivi.

Hii shughuli wangeachiwa wakereketwa wa Dodoma, ili aone wafuasi halisi waliopo Dodoma na kazi kiasi gani inahitajika mkoa huo.

Ni maoni yangu tu.
 
Umenikumbusha mbali aisee....na hakuna kuhamasishana kwa kuwa
Njia za mawasiliano zilikua limited na watu waliweza kusuku magari na
Mambo meengi ambayo kwa asa hatuwez fanya ...nimekumbuka pale arusha alipokuja kuigaragaza ccm ...yaani mrema na makongoro kule hayati nyerere na hayati mkapa na wengine.

Hayo mafuriko ya zigi zaga?

1995 Mrema alikuwa anabebwa juu ko juu na wafuasi wake lakini kilichomkuta....?!!!
..
 
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
Anakubalika kwa watu wajinga.
 
Mtego wa Tume ni kukoseshwa kujaza fomu!!!!!!Lisu awe makini kabisa!!!
Kukoseshwa kujaza form?

Hizi sio form kama za wagombea wa serikali za mtaa waliochakachuliwa kwa kusingiziwa eti wameshindwa kujaza form.
 
Back
Top Bottom