Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
You are westing your time big time.....
cdm watashindwa vibaya mno....
kwasababu ya kelele nyingi...
strategy mbovu......
 
Napata bia zangu hapa five N, saa sita kamili usiku tunaianza safari ya kuja dodoma.
 
Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.

Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.

Lissu anakubalika aisee!
Ada ya mja hunena muungwana ni vitendo
 
Kama watu walewale wanasafiri toka mikoa mingine kumsindikiza kila aendako, haitampa picha halisi ya walio tayari kumpigia kura ni wangapi.

Yasifanyike makosa yale yale yaa 2015 mafuriko kila kona, kumbe watu wanasafiri kama hivi.

Hii shughuli wangeachiwa wakereketwa wa Dodoma, ili aone wafuasi halisi waliopo Dodoma na kazi kiasi gani inahitajika mkoa huo.

Ni maoni yangu tu.
2015 Niliona mafuriko ya CCM pale furahisha wamama na makada wameletwa na Magari ya Coca na ma-bus ya Zakaria halafu jioni magari hayo yakazingua kuja kuwachukua,aisee usiku ule ule wale wamama/wabibi walikua wamesambaa mji mzima wanazurula tu huku wadau wanawacheka balaa wakisema hawakujua wale jamaa ni wasanii sana.

Sijui walifikaje makwao huko Misungwi na wilaya nyingine walikotolewa siku ile.
 
Ccm Ni chama Cha wahuni
 
Wana familia mmekusanyana alafu unakuja. Kutulisha matango pori eti anakubalika ulitaka wanafamilia moja wamkatae au nn ? Hoja yako..
 
2015 Niliona mafuriko ya CCM pale furahisha wamama na makada wameletwa na Magari ya Coca na ma-bus ya Zakaria halafu jioni magari hayo yakazingua kuja kuwachukua,aisee usiku ule ule wale wamama/wabibi walikua wamesambaa mji mzima wanazurula tu huku wadau wanawacheka balaa wakisema hawakujua wale jamaa ni wasanii sana.

Sijui walifikaje makwao huko Misungwi na wilaya nyingine walikotolewa siku ile.
BINAFSI 2015 mafuriko ya mamvi yalinipa confidence sana ya kujigamba mtaani, maana niliona mafuriko kila kona kuzidi CCM.
Ndo maana nimetoa tahadhari.
 
Back
Top Bottom