kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,658
Wakuu habari za leo
Najua nyie ni wazima lengo la kuandika huu uzi hapa napenda tu kuwakumbusha kuwa Tanzania haina democrasia kabisa.
Sababu hatufuati pillars of Democracy mfano FREE MASS MEDIA hii kitu ilishakufa 5 years ago tusishangae Lisu kwenda kusemea kenya huku akipata Nafasi ya kuongea TCRA watafanya mpango sauti yake isisikike inakuwa kama tunaangalia Pornograph.
Cha pili ways of improving democracy in any country ni by increasing role of opposition parties kwetu hapa ukiwa mpinzani unaonekana kama jambazi au mhalifu kabisa ata ukipigwa na risasi serikali haikuhangaikii kabisa vyama vya siasa vimeminywa sana CCM tu inatamba hadi wasanii wote wako CCM.
VIJANA MNAOSHABIKIA CCM NA KUMCHEKA LISU KISA KAWA KILEMA NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA HAWA WALIOMPIGA LISASI NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA.