Zimepita siku ngapi hujapokea mzigo? Duuh na meseji hajibu tena?Wakuu mimi ndiye niliyemuagiza huyu Chief hii main board ya pixel 7 pro
Lakini haijanifikia mpaka muda huu
Messages anafungua ila hajibu hii ni baada ya siku nilizotarajia kupokea parcel kupita ila siwezi sema jamaa moja kwa moja ni tapeli.
I knew the risks ila nisingependa mtu mwingine apoteze hela zake.