Zimepita siku ngapi hujapokea mzigo? Duuh na meseji hajibu tena?Wakuu mimi ndiye niliyemuagiza huyu Chief hii main board ya pixel 7 pro
Lakini haijanifikia mpaka muda huu
Messages anafungua ila hajibu hii ni baada ya siku nilizotarajia kupokea parcel kupita ila siwezi sema jamaa moja kwa moja ni tapeli.
I knew the risks ila nisingependa mtu mwingine apoteze hela zake.
Tayari mapema sanaa. Jamaa analog in kuchungulia reaction na kutoka.Aisee mshapigwa,?
Nilijua huyo ni tapeli tangu mapema na amewaibia hawa wanaojiita Great thinkerTayari mapema sanaa. Jamaa analog in kuchungulia reaction na kutoka.
Waliopigwa walete ushuhuda sasaIla Kuna muda watanzania tunaibiwa kwa kujitakia kabisa kila siku nasema biashara hizi za online hazina usalama kabisa hasa ukifanya na mwenye ngozi nyeusi....Kuna jamaa walimtapeli milion 8 kwa mfumo huu wa kutuma pesa kwa mtu usiemjua tena kiholela kama alivyofanya huyu alieleta tangazo