Nipo fresh kabisa sasa. Baada ya kuwa nje ya JF Kwa Muda Sasa nimerudi

Nipo fresh kabisa sasa. Baada ya kuwa nje ya JF Kwa Muda Sasa nimerudi

Rebuild

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,739
Reaction score
7,444
Habari wa kuu.

Baada ya kuwa nje ya JF Kwa Muda Sasa nimerudi.

Nilikuwa nimeenda kusalimia wazee Kwanza
 
Kujaza mi thread tu isiyo na maana hayo mambo ya wazee simulia marafiki zako huko sio umma wa watanzania
 
Huko kijijini kwenu hamna internet? Mkuu we wa bush sana, yani mporimpori🤣🤣🤣🤣🤣. Vipi wazee wapo poa, je umekuja na zawadi au chochote kitu?
Wazee wapo mzuka kabisa internet ilikuwa shida kimtindo
 
Back
Top Bottom