Nipo Geita

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
889
Reaction score
874
Wakuu nawasalim wote.
Nipo Geita nimeingia Jana mliopo Geita njooni PM tupeana maelekezo na mwongozo wa huu mji wa madhahabu ,nini cha kufanya na ni kipi niepukane nacho ili niendane sawa na wenye mji wao.

Najua kila sehemu kuna taratibu zake ambazo mgeni akifika hawezi zitambua kwa haraka Ila pasipo shaka nitapata muongozo kupitia wana JF wenyeji wa Geita

Karibuni kwa kunipa muongozo
 
Kuna demu wngu hko so chunga sana kuparamia paramia ovyo madem usio wajua sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…