Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi

Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANTView attachment 2644759
Walimu wenzako tarehe kama hizi tunawaona wameanza kupiga myayo, wewe bado hujaishiwa au umevuta mkopo NMB?

Kuwa makini mwalimu fedha ya mkopo siyo ya kula kvanti na wahuni!!
 
Asa so ndo uje uimoisturize...ipakepake...[emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji2960]

Nakuja subiri nibebe zana huwezi kuwa na miguu mikavu mpk inatoa unga, wakati mimi nipo [emoji23]
 
Back
Top Bottom