Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
mmmmh!niachieni loya msimpandishe hasira jamani!
Tonykp kula bata mpaka kuku waone wivu. Msalimie sana Passion Lady wangu.
haha not again
hata ww unataka nipate BAN? ??utanaswa tu siku si nyingi
ngoja Ruttashobolwa afanye mambo!
ban ya miaka 2 utakoma!
hahaha si mchezo! !!!nijulie wapi mie mtt wa geti kali lol!
ushaanza udodoso haaa!
staki i mie!
hii week haito isha kaka! !Duh! me, nime miss Ban kweli, toka mwezi wa kumi na mbili sijapigwa aisee
duh hiyo kaliaaaa..! Passion Lady hili sio siri tena hata picha zenu mlizo kua mnafanya mambo na Tonykp ninazo
aaaa..! Passion Lady hili sio siri tena hata picha zenu mlizo kua mnafanya mambo na Tonykp ninazo
Ban yako nawe yajasi ndio vizuri!
bby noooo!umeona hiyo avatar nimewawekea?
wataisoma mi nawachemsha tu!nakupenda ww tu!
sijamtuma sijui katoka wapi huyowewe naona umetumwa na Tonykp na wengine
staki shida na Ruttashobolwa wangu jamani
si mniache heeee!
wewe naona umetumwa na Tonykp na wengine
staki shida na Ruttashobolwa wangu jamani
si mniache heeee!