Nipo Hapa namuangalia mchungaji Lusekelo

Nipo Hapa namuangalia mchungaji Lusekelo

Habari wakuu...

Nipo hapa ninasikiliza Lusekelo chanel 10..

Nimeshindwa kumuelewa hata anachozungumza.

Hakuna kifungu hata kimoja cha bible anatumia.

Anaongea kwa jazba hadi kutukana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bado yupo? Atakuwa ndio anaishia ishia hivyo. Mungu wa kweli (Yesu Kristo) hachezewi.
 
1. Nani kakuambia huyo ni mchungaji?
Huyo ni mhuni tu kama wahuni wengine wanaochomekea makoti. Ukute hapo ana faru John 3 kwenye koti.
2. Una moyo kweli. Ma TV yote haya unaangalia channel ten? Una shida gani? Kama umeshindwa kufunga DStv ambayo haina channel kama hiyo, hata Azam ya kizalendo inakushinda?
 
Mkuu fungua mlango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu...

Nipo hapa ninasikiliza Lusekelo chanel 10..

Nimeshindwa kumuelewa hata anachozungumza.

Hakuna kifungu hata kimoja cha bible anatumia.

Anaongea kwa jazba hadi kutukana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kuna mwanangu kanihubiria alinithibitishia kwamba hata nabii Adam aliumbwa na Yesu nikasema mmmh huyu bwana yupo sawa kichwani au kakaririshwa matango pori.? Lusekelo anasemaje huko
 
Back
Top Bottom