Nipo hoi kitandani, msaada tafadhali

Nipo hoi kitandani, msaada tafadhali

Fundi_Matia

New Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
1
Reaction score
3
1. Najisikia maumivu kwenye rectum, hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa.

2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa.

3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja.

4. Na hatimaye uume hupata itching kwenye urethra.

Nini hii jamani?

Nina maumivu ya korodani hasa nikitoka kufanya mapenzi, Maumivu ya kibofu, tumbo, kiuno, mgongo, uume kusinyaa kupitiliza.

Sijisikii haja kubwa au ndogo ila nikibanwa haja huwa tumbo kama linajaa upepo ndo nagundua nmebanwa, vichomi vidogo miguuni na chin na baadh ya maeneo ya juu.
 
Pole sana mkuu, hebu wahi hospitali
 
Mbona hata Mimi Nina hayo maumivu na pia Nina vidonda vya tumbo. Pole, nadhani hujawahi kupata bawasil me Nina uzoefu naona fresh tu navumilia tutakufa tu siku Moja usiwaze Cha msingi tubu mapema uwe na Moyo Safi
 
Hebu wahi hospital haraka iwezekanavyo.

Huku pia ukipitia kwenye maombi mara kwa mara, maana Mungu hutenda pasipowezekana.

Mr nenda hospital ni muhimu ilikubaini tatizo maana umeelezea mifumo kama mitatu ambayo inakupa maumivu haijulikani dhahiri mpaka doctor hakuchunguze physically .
 
1. Najisikia maumivu kwenye rectum, hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa.

2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa.

3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja.

4. Na hatimaye uume hupata itching kwenye urethra.

Nini hii jamani?

Nina maumivu ya korodani hasa nikitoka kufanya mapenzi, Maumivu ya kibofu, tumbo, kiuno, mgongo, uume kusinyaa kupitiliza.

Sijisikii haja kubwa au ndogo ila nikibanwa haja huwa tumbo kama linajaa upepo ndo nagundua nmebanwa, vichomi vidogo miguuni na chin na baadh ya maeneo ya juu.

Ni vyema kufika hospitali ili kupata majadiliano mazuri na mtoa huduma ya afya, lakini kwa maelezo yako naweza kuwazia hasa kuwa na shida:

1: Njia ya uzazi hasa maambukizi kwenye tezi dume/prostatitis.
2: Shida ya njia ya mkojo/Cystitis
3: Shida ya njia ya haja kubwa

Hapa kutahitajika maelezo zaidi pamoja na vipimo ili kuthibitisha au kukanusha baadhi ya niyazaniayo.
 
Back
Top Bottom