Kwa mujibu wa maelezo yake hiyo hospitali itakuwa ni Mnazi mmoja,maana ndio ya serikali karibu na kkoHospitali gani hiyo
Serikali yetu kupitia wizara ya afya Wanawake wajawazito, waliojifungua na waliopata ajali hawapewi masharti ya kuchangia damu ndio waongezewe damu.
Ikitokea mgonjwa wa magonjwa mengine amepungukiwa damu anaweza ambiwa achangiwe na ndugu zake ndio aongezewe damu, sio wazazi
Acha tu ndugu,wabongo pasua kichwa,ujuaji mwingi wakati hawajui kituunategemea kwamba replacement ya damu ,aliyopewa mkeo inatoka wapi wabongo muda mwingine tunakela Sana
Nimechekaaaa...dah kibokoKwa hiyo mnasubiri mpaka Nini kitokee?
Hii dar es salaam dadaHospitali gani hiyo
Serikali yetu kupitia wizara ya afya Wanawake wajawazito, waliojifungua na waliopata ajali hawapewi masharti ya kuchangia damu ndio waongezewe damu.
Ikitokea mgonjwa wa magonjwa mengine amepungukiwa damu anaweza ambiwa achangiwe na ndugu zake ndio aongezewe damu, sio wazazi
UKIMWI, huwezi kukosa vigezo labda uwe una UKIMWI. Damu yako hata iwe group gani utachangia then wao wataenda kubadili kwa aina ya damu aliyonayo mgonjwa.Vigezo hatuna
Hospitali gani hiyo
Serikali yetu kupitia wizara ya afya Wanawake wajawazito, waliojifungua na waliopata ajali hawapewi masharti ya kuchangia damu ndio waongezewe damu.
Ikitokea mgonjwa wa magonjwa mengine amepungukiwa damu anaweza ambiwa achangiwe na ndugu zake ndio aongezewe damu, sio wazazi
Wote mna ngoma familia na majirani?Vigezo hatuna
Maana sielewi ujue🤣Nimechekaaaa...dah kiboko
Kwa mujibu wa maelezo yake hiyo hospitali itakuwa ni Mnazi mmoja,maana ndio ya serikali karibu na kko
Hii dar es salaam dada watu wanauziwa mpaka ARVS sembuse damu😂
Hospitali ya Private damu unanunua
Kwani kama huchangii unatakiwa ulipe bei gani?Yaani likija suala la kuchangia damu watu huwa wanaogopa kupimwa UKIMWI!
Ishu ya kuchangia damu kwa mgonjwa wako unafanya chapu, wakienda kupima wakakuta chafu watamwaga ilimradi mgonjwa wako amepata damu ameokoa maisha!