Nipo hospitali Mgonjwa amejifungua kwa operation ila damu wanasema hawajamuongezea kwahiyo tulipe, tuchangie, au tuondoke kwa kusaini

Hospitali gani hiyo
Serikali yetu kupitia wizara ya afya Wanawake wajawazito, waliojifungua na waliopata ajali hawapewi masharti ya kuchangia damu ndio waongezewe damu.

Ikitokea mgonjwa wa magonjwa mengine amepungukiwa damu anaweza ambiwa achangiwe na ndugu zake ndio aongezewe damu, sio wazazi
Kwa mujibu wa maelezo yake hiyo hospitali itakuwa ni Mnazi mmoja,maana ndio ya serikali karibu na kko
 
Watanzania ni wapumbavu sana sasa ww unafikili hyo dam utapewa bure??Ndo maana mmepewa option tatu apo yan huu mda ambao unakuja kuleta ujinga wako huu JF mngekua mshatoa Bag kadhaa za dam
 
Hospitali gani hiyo
Serikali yetu kupitia wizara ya afya Wanawake wajawazito, waliojifungua na waliopata ajali hawapewi masharti ya kuchangia damu ndio waongezewe damu.

Ikitokea mgonjwa wa magonjwa mengine amepungukiwa damu anaweza ambiwa achangiwe na ndugu zake ndio aongezewe damu, sio wazazi
Hii dar es salaam dada
 
Hii dar es salaam dada watu wanauziwa mpaka ARVS sembuse damu😂
Hospitali gani hiyo
Serikali yetu kupitia wizara ya afya Wanawake wajawazito, waliojifungua na waliopata ajali hawapewi masharti ya kuchangia damu ndio waongezewe damu.

Ikitokea mgonjwa wa magonjwa mengine amepungukiwa damu anaweza ambiwa achangiwe na ndugu zake ndio aongezewe damu, sio wazazi
 
Hapo kwenye kuchangia ni sawa kabisa.
Ndugu wawili kama mko hapo yawapasa mchangie.
Ili hata akija mgonjwa wa dharura kupitia ninyi maisha yake nayo yaokolewe.
Changia damu,ipe uhai benki ya damu
 
Kweli ww pimbi kabisa yaani badala ya kupambania uhai wa mtu wewe unakuja kulalamika JF!

Lipa pesa mgonjwa apewe damu.

Achaa masihara na uhai wa mtu.
 
Wabongo bwana, halafu akifa mtu hapo unaambiwa ni mipango ya mungu,
 
Kwa mujibu wa maelezo yake hiyo hospitali itakuwa ni Mnazi mmoja,maana ndio ya serikali karibu na kko

Watakuwa wanahitaji kukusanya damu lakini sio kwamba hawampi mgonjwa damu hadi achangie
 
Unataka aongezewe damu ya nani au ya kondoo .. changia damu okoa maisha
 
Yaani likija suala la kuchangia damu watu huwa wanaogopa kupimwa UKIMWI!

Ishu ya kuchangia damu kwa mgonjwa wako unafanya chapu, wakienda kupima wakakuta chafu watamwaga ilimradi mgonjwa wako amepata damu ameokoa maisha!
 
Kwani kama huchangii unatakiwa ulipe bei gani?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu enzi tukiwa wanafunzi, wale watu wa benki ya damu salama walikuwa wakisema, damu haiuzwi bali inatolewa bure.

Na ndio maana wanakuwa wanawaambia ndugu wachangie damu ili kurudishia ile iliyotolewa. Sasa hapo ni kutoa kama vigezo vinaruhusu halafu unasepa hata haufuatilii majibu.

Ukinunua damu hiyo ni rushwa
 
Back
Top Bottom