[emoji23][emoji23] yalimkuta ndio mana akafungua na uzi kuwaasa wengine. Unashobokaje na id fake lazima yakukute tu.imesaidia saidia nimeona wadada wanamshobokea[emoji23]
Kumbe... Nmeanza kumfahamu juzi juzi sababu ya mlundikano wa idsKitambo Sana, ndo Mana nilihisi wewe na yeye ni 1
uje kule uselfike mama nimekumissπ[emoji23][emoji23] yalimkuta ndio mana akafungua na uzi kuwaasa wengine. Unashobokaje na id fake lazima yakukute tu.
Hayo ni masharti ya mabeberu ndo mana tunataka katiba mpyamimi nina id 1 tu ndo maana najitahidi siandiki upuuziπ
Ehhhhππ, Bora niwe single mpaka kufaaππ[emoji23][emoji23] yalimkuta ndio mana akafungua na uzi kuwaasa wengine. Unashobokaje na id fake lazima yakukute tu.
[emoji1787]Ehhhh[emoji23][emoji23], Bora niwe single mpaka kufaa[emoji23][emoji23]
Usiwazeuje kule uselfike mama nimekumiss[emoji28]
asake ameachia goma, au we mshamba unamsikiliza davido tu
Nipe mkuu!Sema wewe so mdau ningekupa web ambayo haina masharti full kujachia
Hahahaa itakua imerudi maana wanakupa tarehe na mdaa siku ya itakayo rudi...πππKumbe tulikuwa wengi na mi niangalie ka id kangu labda nimerudi uraiani
Nimepoa sasaπππUtulie, ukileta za kuleta unakula ban tena
Nipe idea tuanzie wapi? Au mjini YouTube...πππIamBrianLeeSnr Ile stori ya khumbu inabidi tupige hela
Ndio!Anaomba ela?
Mimi alinipiga kizinga nikachomoa betri fasta akamaindi kweli!Hapana, nahisi hayuko hivyo
Ndo ukomee nawee baba tamuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uache kuwa serious na JF kiasi hiko. Lol
Hahahaa hatariππππ[emoji1787][emoji1787] tuanze vikao vya harusi moja kwa moja wewe huitaji kitchen party kungwi mwenyewe
madem wenyewe ukute ni maupinde tu [emoji706][emoji706]