Nipo imara ila najuta

Nipo imara ila najuta

Habarini wakuu.

Nimekua nikipitia changamoto ya magonjwa kwa takribani sku kadhaa lkn nipende kuwahakikishia wana JF kua nmepona na vipele vimetoka sipat maumivu mda wa kukojoa na leo ndo natoka kweny mihangaiko sasahivi. Nawashauri mimi nimetumia gharama kubwa sana tangu niugue kama ifuatavyo:

1. Dinner na pisi- 40,000

2. Bolt to home-5000

3. Bolt from ghetto to her home na ya kigentle baad ya kumla-15,000

4. Kupima na dawa siku ya kwanza-32,000

5. Siku nilizojiuguza ambazo sijaenda kazini ni 3- 75,000

6. Nmepoteza dili la nje la 110,000

7. Dawa ya fungus na after shave- 15,000

8. Mahusiano na Mungu baad ya dhambi- can't be quantified.

Wakuu hizo gharama kama nisingezini nisingeingia hzo gharama zote. Vijana tunashindwa kuendelea ngono kimojawapo pamoja na sababu nyinginezo. Nitoe rai kwa watu wote tuvae condom au tuache dhamb ya uzinzi.
Total tsh 292000 (107$).
 
Ushauri mzuri.tulio wahi kutana na hali hiyo tunakuelewa watoto wa 2000 hawato kuelewa
 
Hilo dili ya nnje la 110,000 ni dollars au kwa pesa za madafu mkuu?
mtu kama ww unakuta hata mchongo wa kulala na tsh elfu 10 kama faida huna, ila sasa ukija jf anakoment mashudu kama haya tumuone na yeye yumo.
 
Sawa,upo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom