kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Nlikua hapo juzi kati nikitokea Ngorongoro Crater
Hapo hukosi company sio lazima wa humu jf
Atakupuna uje unalia
mkuuu unaniogopesha mkuuuuNlikua hapo juzi kati nikitokea Ngorongoro Crater
Hapo hukosi company sio lazima wa humu jf
Atakupuna uje unalia
mkuu uko mitaa gani mkuuSawa agiza nakuja kulipa
Unaogopa nini mkuu, au nikuunganishe na KATARINAmkuuu unaniogopesha mkuuuu
hahhaha Mkuuuu sawa tuu mkuuu wewe tuuuUnaogopa nini mkuu, au nikuunganishe na KATARINA
ukimzingua anatoa mguu wa kuku
Sawa agiza nakuja kulipa
Usisahau mrejesho