Nipo Karatu kama vipi nicheki unipe kampany

Nipo Karatu kama vipi nicheki unipe kampany

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Wanjamvi wezangu mliopo katika Jamvi hilii tamuu kabisa nawaslimu sana
Mimi mwanachama mwezenu leo nipo moja ya wilaya maarufu hapa mkoani Arusha Karatu mjini
Kama kuna mwanajamvii yupo on tuonane kama vipi tupeane campany.
Niko so lonely sana natamani nipate mtu wakinicomfort .

Karibu uliye karibu PM au popote mimi ntakufata chapu
 
Ukimwi hapo upo wa kukutosha wewe na ukipenda unaweza pelekea familia na majamaa
 
Back
Top Bottom