Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,500 Reaction score 7,432 Sep 8, 2013 Thread starter #21 Naona Dagaa zimeshuka bei,nimepita Kalinzi ndoo kubwa ya lita 20,unauziwa kwa Tsh 25000,samaki migebuka wamekuwa Adimu
Naona Dagaa zimeshuka bei,nimepita Kalinzi ndoo kubwa ya lita 20,unauziwa kwa Tsh 25000,samaki migebuka wamekuwa Adimu
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Sep 8, 2013 #22 Adharusi said: Hapana bhana,natafuta---------------- Click to expand... we tafuta tu..... ndio mambo mkubwa!
Adharusi said: Hapana bhana,natafuta---------------- Click to expand... we tafuta tu..... ndio mambo mkubwa!
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,500 Reaction score 7,432 Sep 9, 2013 Thread starter #23 Barabara ya Kigoma kask-Manyovu road ina Askari wengi kazi yao kupokea Fedha tu kwa Madreva,ukifika njia panda ya mwandiga utawakuta,Kiganza wapo,mkongoro wapo,Kalinzi wapi,mawasiliano utakuta wanajeshi
Barabara ya Kigoma kask-Manyovu road ina Askari wengi kazi yao kupokea Fedha tu kwa Madreva,ukifika njia panda ya mwandiga utawakuta,Kiganza wapo,mkongoro wapo,Kalinzi wapi,mawasiliano utakuta wanajeshi