Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?