Nipo kwenye haya mahusiano nisiyoyaelewa

Jiongeze ww. Mtoto wa kiume unalilia mapenz..?
Demu amenza kubadilika mpotezee.
Haina haja ya kumlaZimisha mtu akupende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morogoro? Morogoro kabisa?? Duh pole sana
 
Huyo sio wako mkuu, mpotezee na uache kumtafuta kabisa. Futa namba japo inauma kama bado ujala tunda na ushahudumia
 
sawa mkuu nimekielewa japo inauma sana maana nampenda sana kupita maelezo mkuu, naweza kufuta namba zake ila nikawa naumia
Huyo sio wako mkuu, mpotezee na uache kumtafuta kabisa. Futa namba japo inauma kama bado ujala tunda na ushahudumia
 
Kujishusha hadhi kiaje mkuu?
 
Asee pole kijana..! huyo achana nae kabsaa..acha kulialia kwani bila yeye utakufa..? utapata stress tu..wakati kna njemba ina mkuna balaa akitoka hapo anachechemea..lazima wiki iishe tu hajakutafuta..!
Endelea kuzingatia kanuni za afya..Jikinge dhidi ya corona..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…