Nipo kwenye haya mahusiano nisiyoyaelewa

Bro, muda sio mrefu utakuwa mpenzi king'ang'anizi maana muda wako wa kuvuma ushaisha
 
Achana naye, kwani nn bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayo manyoya mkuu jipange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona sa ona sa..fanya kama una balance shobo na wewe. ikipita wiki tena aja kucheki delete no..
 
iyo style anayotumia kukuacha ndio style yangu pendwa na huwa inanoga nikikutana na mtu anae jua kujiongeza, uyo dada kajifunza kwa sisi mabaharia ila shida sasa kakutana na mtu hajui kujiongeza, amka bro jiongeze.
 
Daaaah sawa

Ila Sikulaumu. I thnk ni situation wengi huwa tunaipitia mara kadhaa kwenye maisha yetu mpaka tunapokuja kujifunza ABC na kanuni za huu mchezo zikoje. Na hata katika stage hyo kuna muda unaweza kamatika.

Mkuu, nataka Ujiulize kitu. Huyo dada amefanya nn mpaka astahili kupewa hizo shobo unazo mpa? Kwa nini unaongeza mtaji kwenye biashara kichaa namna hii? Ni kwamba haujithamini kiasi hicho mpaka umpandishe huyo dada daraja hivi?

Ni kwamba unahic anakufanyia favor kuchat na ww au kuwepo kwenye maisha yako? Yeye hajui thamani yako? Au wewe pia haujui thamani yako?

Wasichana hawa usiwachukulie serious sana mkuu na kuwapandisha daraja hivo. Nahic kwa asilimia kubwa huyo mdada ndo alikua na power kwenye hayo mahusiano yenu. Ndo maana now wewe ndo unahaha. Jifunze kubalance shobo na kutokuingia mazima next time.

Jaribu kuwachukulia kama watoto tu ila wenye umri mkubwa. Itarahisisha sana maisha yako.

Bado wanahitaji vizawad vya hapa na pale, kucheza cheza nao, utani, outing, lkn muhimu zaidi wanahitaj mwanaume wa kumwambia fanya hivi au achana na hivi. Anaweza asikwambie na wengine watakataa ila mwanaume ambae lolote twende wanakudharau. Wanaona huna msimamo wakujitegemea.

Acha kutia aibu familia yako. Achana nae huyo.




Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Subiri korona iishe uone hali inaenda aje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…