Nipo kwenye mahusiano na Mama Mtu mzima, anaruhusu mabinti zake wanasoma chat zetu za ujinga

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika.

Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh

Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wana tabia ya kushika simu yake na kusoma sms, mimi ni dizaini ya watu sijui kutumia tafsida, sasa huwa namtumia huyu shangazi SMS za ujinga mfano jinsi anavyojua kuzagamuana etc

Nilichokuja kugundua kila tunachochat mabinti zake wanasoma, hata akija kupelekewa moto wanajua

Nimeamua kumuacha kwa kutojua kutunza faragha
 
Slow slow mbele kuna mteremko mkali 😹😹
 

Attachments

  • IMG_3085.jpeg
    44.9 KB · Views: 11
Hata mazezeta huzaa na pia huzeeka
 
Kama siyo Chai basi hilo lishangazi lako halijitambui kabisa.
 
Mhuuuu
 
Aisee labda maza anataka watoto wake nao wafaidi unachompa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…