KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Wewe bado mtoto.......hiyo haiwezi kuwa sababu kwa mtu mzima kufanya huo uamuzi tena kwa mtu mzima mwenzie.......Mi sio kijana nik9 above 35
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bado mtoto.......hiyo haiwezi kuwa sababu kwa mtu mzima kufanya huo uamuzi tena kwa mtu mzima mwenzie.......Mi sio kijana nik9 above 35
Hongera Sana.Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika.
Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh
Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wana tabia ya kushika simu yake na kusoma sms, mimi ni dizaini ya watu sijui kutumia tafsida, sasa huwa namtumia huyu shangazi SMS za ujinga mfano jinsi anavyojua kuzagamuana etc
Nilichokuja kugundua kila tunachochat mabinti zake wanasoma, hata akija kupelekewa moto wanajua
Nimeamua kumuacha kwa kutojua kutunza faragha
Nitumie namba zake inbox hilo mshangazi ili nimkanye,,Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika.
Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh
Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wana tabia ya kushika simu yake na kusoma sms, mimi ni dizaini ya watu sijui kutumia tafsida, sasa huwa namtumia huyu shangazi SMS za ujinga mfano jinsi anavyojua kuzagamuana etc
Nilichokuja kugundua kila tunachochat mabinti zake wanasoma, hata akija kupelekewa moto wanajua
Nimeamua kumuacha kwa kutojua kutunza faragha
MmhHakuna mwanamke anayejielewa akaachika.