Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Binafsi huwa nikipata nafasi ya kusali siachi kumuombea pumziko jema huko alipo hayati Magufuli .
Nimekuja kugundua baadhi hotuba zake nyingi zimekuwa mareje wakati huu tuliopo ingawa yeye aliongea jana!
Wakati huu wa ukuwaji wa teknolojia huwenda zikaja futwa katika mitandao tukazikosa kabisa.
Falsafa yake na aina ile ya uongozi wake binafsi naona ilikua ndio mwanzo wa hatua ya kuondokana bna umasikini na utegemezi kama taifa
Yeyote anaye zifuata namna zake za kiuongozi ambae kweli unafiki haupo ndani yake nina hakika atakubaliana nami.
Bado nazidi na kuendelea kuamini ule uongozi wake upo paused ipo siku utandeleq pale ulipo simamia.