Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Itakuwa umezaliwa kipindi cha Mkapa siyo kosa lako, na mpo wengi tu.Nyerere ni zaidi ya J.P.M kwa mujibu wako wewe.
Ila J.P.M ni zaidi ya Nyerere kwa mujibu wangu mimi.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yule kijana alivuka mipaka ya utovu wa nidhamu. Rais hachukuliwi poa namna ile! Wenye akili wanaelewa. Alikatazwa sana! Hakukoma akaendelea... tena wengine humohumo chamani mwao na ndugu, marafiki na jamaa zake. Ali-deserve alichokipata.Alidhamiria kumuuwa Lisu lakini Mungu mkubwa katwaliwa yeye.
Maswali mengine waulize familia ya Ben Saanane wamechukuliwa mke?
Wapi kaongelewa nyerere hapo?!Kwahiyo Magufuli ni zaidi ya Nyerere?
Kweli mental illness is really.
Dah nimetoka machozi tena, Dkt Magufuli ataendelea kuishi mioyoni mwetu, ipo siku wanaomdhihaki na kumtusi watajibu. Alileta matumaini palipo na hudhuni, aliutuasa tufanye kazi kwa bidii na alisisitiza tumechelewa nchi yetu ni tajiri na siyo masikini!Binafsi huwa nikipata nafasi ya kusali siachi kumuombea pumziko jema huko alipo hayati Magufuli .
Nimekuja kugundua baadhi hotuba zake nyingi zimekuwa mareje wakati huu tuliopo ingawa yeye aliongea jana!
Wakati huu wa ukuwaji wa teknolojia huwenda zikaja futwa katika mitandao tukazikosa kabisa.
Falsafa yake na aina ile ya uongozi wake binafsi naona ilikua ndio mwanzo wa hatua ya kuondokana bna umasikini na utegemezi kama taifa
Yeyote anaye zifuata namna zake za kiuongozi ambae kweli unafiki haupo ndani yake nina hakika atakubaliana nami.
Bado nazidi na kuendelea kuamini ule uongozi wake upo paused ipo siku utandeleq pale ulipo simamia.
View attachment 2686713
Saa nane na Lisu na wengine Dkt Magufuli hahusiki, waliohusika ndiyo hao unawasikia wakisema eti Mungu kajibu maombi. Ipo siku!Alidhamiria kumuuwa Lisu lakini Mungu mkubwa katwaliwa yeye.
Maswali mengine waulize familia ya Ben Saanane wamechukuliwa mke?
Watu maalum wenyewe wanaijua kazi yao. Sio lazima Magufuli awatume, huenda waliona hapa ni too-much! too far! Let us take an action! Tunaonekana ni useless!Saa nane na Lisu na wengine Dkt Magufuli hahusiki, waliohusika ndiyo hao unawasikia wakisema eti Mungu kajibu maombi. Ipo siku!