Nipo kwenye penzi motomoto

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Hakika ile furaha niliyoikosa muda mrefu, sasa imerudi.
Tangu nilipoamua kuhamishia mapigo yangu kwa mke wangu na kuachana na michepuko, nimejikuta penzi letu linanoga siku hadi siku.
Kila nikitoka kazini lazima nimbebee mama watoto chochote hata kama ni cha 1,500 TSh.
Nikirudi nyumbani namkuta mwenye bashasha na hunipokea kwa furaha sana kiasi kwamba nazidi kumpenda kila nimuonapo.

Wanaume wenzangu nawakumbusha hakuna tuzo za kuwa na michepuko. Ni kupoteza muda na nguvu. Tuwapende wake zetu ndio wenye thamani kuliko watu wengine wowote
 
We baki kwa mke wako kama zawadi unazoongelea ndio hizi za buku jero.
 
Naona unatuwekea profile yako sio.. Sio kila mwanaume lazima achepeku..
Kwani kuchepuka ni ajabu? Mimi nachepuka sana na hata mke wangu anajua na kaona kawaida.

Unaumia kwani nikichepuka? Hufai kuwa mke wewe.
 
Shemela, kaa kwenye nafasi ya mchepuko (mfano tu shemela bro asije akamdindi bure) halafu uletewe zawadi ya buku jero.... HUTAMMWAGA..???!! Huyu kamwagika
Kwanza hawezi hata kufikiria kuniletea hiyo zawadi ya buku jero
 
Hongera kwa kujitambua!,ata hao wachepukaji wakijitambua bila shaka watarudi njia kuu. Kummbuka kila mtu anaguswa kwa wakati wake.Mbona ulivyoanza kuchepuka ukutwambia?
 


Umesema ukweli mtupu mwanawane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…