nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Hakika ile furaha niliyoikosa muda mrefu, sasa imerudi.
Tangu nilipoamua kuhamishia mapigo yangu kwa mke wangu na kuachana na michepuko, nimejikuta penzi letu linanoga siku hadi siku.
Kila nikitoka kazini lazima nimbebee mama watoto chochote hata kama ni cha 1,500 TSh.
Nikirudi nyumbani namkuta mwenye bashasha na hunipokea kwa furaha sana kiasi kwamba nazidi kumpenda kila nimuonapo.
Wanaume wenzangu nawakumbusha hakuna tuzo za kuwa na michepuko. Ni kupoteza muda na nguvu. Tuwapende wake zetu ndio wenye thamani kuliko watu wengine wowote