Nawasalim kwa jina la jmt...
Nilileta thread hapa kuomba ushauri kuhusiana na mama mwenye wangu kunipa wakati mgumu sasa hali naona ndo inazidi kuwa mbaya yani kama moto ndo kama umemwagia petrol kibaya zaidi kashapata na namba yangu baasi ma msg kila nishamuonya suala kunitafuta mimi siitaki utaniletea shida na bro jibu alilonipa ndo nimechoooka eti "Nakupenda, najua ni hatari ila nakupenda na mimi najua kama ni hatari"
Shida kubwa zaidi ananitishia kama sijatimiza anachokitaka atamwambia mmewe kuwa nimemtoongoza yaani namtaka simply ananichoma kwa jambo la uongo wtf
Aiseee nimechoka sana, nishaanza kutafuta nyumba nyingine ili nihame ijapokuwa najua sitopata sehemu tulivu kama hii ila for the sake of my life I have to leave soon