Nipo lonely hapa wacha tuchangamshane

Comment ya maana umekuja kutoa mwishoni weka nyama sasa
Kiukweli hata mimi muda mwingi nakuwaga peke yangu hadi nawashangaza wengine ...........

Nilipokuwa olevo niliwahi kuitwa na walimu wakaanza kuniuliza kama nachekagaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ coz nilikuwaga kivyangu vyangu sana, na ni mgumu sana kuconnect na watu hata kama ni wanaume wenzangu daah sema jeiefu nakuwaga mjanjaa mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hiyo hali nimeshindwaga kupambana nayo sema nikaamua tu kukubaliana nayo mkuu
 
Kwaiyo na wewe unagongaga mikono? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Oya
Oya utakufa kiholo angalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…