Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah hiyo mishangaz show zao vita na jeshini sijaendaTafuta lishangazi kama hawa miamba Poor Brain na KENZY liwe linakuliwaza ufungiwe ndan kama poor usije kuleta mada za upweke tena kama MaT2B
Hii vita mimi simo.Huyu bwana na back door ni ndugu uzi utanuka nyaaa humu usimuite bwana
🤣🙏Oya we!huo mzigo dogo atatema bungoTafuta skanka uchome
KayaNdo nini hiyo?
Kiukweli hata mimi muda mwingi nakuwaga peke yangu hadi nawashangaza wengine ...........Comment ya maana umekuja kutoa mwishoni weka nyama sasa
Kwaiyo na wewe unagongaga mikono? 😂😂😂Kiukweli hata mimi muda mwingi nakuwaga peke yangu hadi nawashangaza wengine ...........
Nilipokuwa olevo niliwahi kuitwa na walimu wakaanza kuniuliza kama nachekagaaa 😂😂😂😂 coz nilikuwaga kivyangu vyangu sana, na ni mgumu sana kuconnect na watu hata kama ni wanaume wenzangu daah sema jeiefu nakuwaga mjanjaa mwenyewe 😂😂😂 hiyo hali nimeshindwaga kupambana nayo sema nikaamua tu kukubaliana nayo mkuu
Hapana situmiagi hiyo kitu ila naishi kigumu inafikia hatua KIDUMU kinajaaa unakuwa ukiona kapaja kanachungulia ka female weew mjomba anasoma BOOMKwaiyo na wewe unagongaga mikono? 😂😂😂
Oya utakufa kiholo angaliaKiukweli hata mimi muda mwingi nakuwaga peke yangu hadi nawashangaza wengine ...........
Nilipokuwa olevo niliwahi kuitwa na walimu wakaanza kuniuliza kama nachekagaaa 😂😂😂😂 coz nilikuwaga kivyangu vyangu sana, na ni mgumu sana kuconnect na watu hata kama ni wanaume wenzangu daah sema jeiefu nakuwaga mjanjaa mwenyewe 😂😂😂 hiyo hali nimeshindwaga kupambana nayo sema nikaamua tu kukubaliana nayo mkuu
Kiongozi mpaka Sasa ujakimbiza mwenge.....we kweli jasiriBado nawaza niyafanye or not as siipendi ila no way out 🤣🤣🤣