Nipo Mbeya City, wapi nitampata hizi Men blacelet?

Nipo Mbeya City, wapi nitampata hizi Men blacelet?

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wakuu, nipo Mbeya City nahitaji hizi blacelets, offcorse Mimi sio mpenzi wa saa za mkononi Ila napenda sana blacelets za kiume kama hizi, nikivaa hizi najisikia niko comfortable sana.
Nilizokuwa navaaga zimenipotea.
Moderator naomba ubadili hapo kwenye title "nitampata=nitapata"
 
Attachments

  • Screenshot_20230702-130216_1.jpg
    Screenshot_20230702-130216_1.jpg
    4.3 KB · Views: 6
  • IMG-20230601-WA0011.jpg
    IMG-20230601-WA0011.jpg
    21.6 KB · Views: 6
Nyie badala ya kupanga wapi naweza kupata, mnaleta mambo za Mikoani tena..!!
 
1.Nunua online kwa jux(african boy store) au nenda uindini pale dubai...
2.Kabwe gorofani kuna sonara pale mkabala na ofisi za kodtec.
3.vunjabei store,mwanjelwa
4.pale TTCL uwe kama unaenda agha khan,kuna rasta's wako pale wanafanya vitu vya asili kuna bracelet pale hujawahi ona..
 
😁😁 kwahyo Diamond anafikiriwa vibaya kwa lipi mtu yupo na Maisha yake Wala Haishi kwa pesa ya mtu..!!
 
Nenda maduka ya uremboo.
Duka za urembo nyingi zina Women bracelets halafu materials yake sio Stainless steel,, ni zile cheap za kuanzia buku mpaka buku 2
 
Duka za urembo nyingi zina Women bracelets halafu materials yake sio Stainless steel,, ni zile cheap za kuanzia buku mpaka buku 2
Labda huko, ila Songea kuna duka LA urembo, anauza Muhindi kuna bracelet za jinsia zote, stainless steel tena.
 
Wakuu, nipo Mbeya City nahitaji hizi blacelets, offcorse Mimi sio mpenzi wa saa za mkononi Ila napenda sana blacelets za kiume kama hizi, nikivaa hizi najisikia niko comfortable sana.
Nilizokuwa navaaga zimenipotea.
Moderator naomba ubadili hapo kwenye title "nitampata=nitapata"
Kwani unataka nin?
 
Back
Top Bottom