Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Aje Mazee
Hapa kijijini niishipo hapa hakuna kijana wa lika langu anaemiliki gari
Sasa ndugu bwana Fene nipo mbioni kumiliki gari
Nitakuja hapa WanaJf munipe muongozo
Nipo njiani kumiliki ndinga, nipo mbioni kuwa star wa Kijiji
Navuta picha hawa watoto wakali daah!
Yani itakuwa "Fene Fene Fene"
Itabidi tu nivimbe kwakweli
Kijana mwenzang nakushauri ukiona town ustar umekukataa kimbilia bush na wew ukavimbe, ila sikulazimish
Uzi tayari