Nipo mbioni kuwa star wa kijiji

Nipo mbioni kuwa star wa kijiji

Angalia usijekudhani upo kwenye ligi kumbe unaopambana nao wala hawapo kwenye ligi na wewe...

Na karne hii ya Uchawa na Wapambe unaweza gharamika kufuga watu /wadau kumbe ni makupe...

Anyway always huwa nasema to each his / her own..., chochote kinachokufanya upate usingizi wa pono, basi na ukifanye.... (its a price worth paying)
Umenena
 
Back
Top Bottom