Uhalali wake unatokana na nini huyo mwizi wa kura?Unanishangaza kutumia neno Rais fake, Dr Samia ndiye Rais wetu halali kabisa,tuwe makini sana na wachochezi.
Raisi ni fake maana eneo nilipo vituo vyote vilichomwa moto na maboksi alafu diwani ccm kapatikana na ushindi na mbunge acha kujizima data.Unanishangaza kutumia neno Rais fake, Dr Samia ndiye Rais wetu halali kabisa,tuwe makini sana na wachochezi.
Jino la mamba za leo babaUnanishangaza kutumia neno Rais fake, Dr Samia ndiye Rais wetu halali kabisa,tuwe makini sana na wachochezi.
Rais feki.. uchaguzi haukua uchaguzi ila wamejichagua hakuna kura zilizopigwa usifikiri hatuishi na Walimu waliosimamia kura.. wewe kitukuu cha Jaji Mwambegele uongee kwa kutulia na kwa taarifa yako wapo baadhi waliohojiwa na wakausema ukweli uliofanyika na ulivyokua msitufanye sisi mafalaUnanishangaza kutumia neno Rais fake, Dr Samia ndiye Rais wetu halali kabisa,tuwe makini sana na wachochezi.