Nipo Mombasa narudi kesho Jumapili, niagize bidhaa yoyote ya halali unilipe nikifika nayo Dar

Tayukwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
2,178
Reaction score
4,410
Kama bango linavyosomeka hapo juu weka order ya bidhaa uitakayo ambayo kama itakuwa ndani ya uwezo wangu nitakuletea mpaka DSM Ubungo kisha utanilipa gharama yake ya hiyo bidhaa.

Ukiwa seriously ni PM uniambie bidhaa gani na wewe utailipia kwa gharama gani.
 
Last edited by a moderator:
Watu kama nyie kwenye dunia leo iliyokosa uaminifu ndo mnahtajika, tatzo la uaminifu ni 2 sided, wewe utaonesha uaminif ila kaz ipo kwa mwenzako, wapo watakaoagza kwa tamaa wakifka ubungo wanaleta essay baada ya pesa. Ila niwaambie wadau biashara/Maisha ya leo ukiwa tapeli na ujanja ujanja mwing nakuambia utasubr sana
 
Mimi nataka uniulizie Bei ya bidhaa fulani huko!
Kama hauto mind

Ova
 
Uaminifu ni mtaji tosha

Ova
 
kuna vitu wabongo sijui ni ujinga ama nini ona sasa Uzi mzuri unavyoenda kuharibika kwa mambo ya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…