Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlikuwa tanga Milima ya usambara nilichukua iriki Huko nkaleta dar ila naskia mombasa kuna soko zuri na iriki nimefumania chimbo Huko tanga upatikanaji wake....nataka nijue zaidi soko la mombasa mkuuUkiwa na maana kuwa wewe upo tanga na unataka kuzileta huku?
[emoji106]kuna vitu wabongo sijui ni ujinga ama nini ona sasa Uzi mzuri unavyoenda kuharibika kwa mambo ya kipuuzi
Nlikuwa tanga Milima ya usambara nilichukua iriki Huko nkaleta dar ila naskia mombasa kuna soko zuri na iriki nimefumania chimbo Huko tanga upatikanaji wake....nataka nijue zaidi soko la mombasa mkuu
Kuhusu mwani Mafia iko ya kutosha kujipanga tu
Ova
Poa....tutapiga kazi pamoja usiogopeKuna wadau wakubwa km watatu hivi ambayo huagiza hizo hiriki, naendelea kuwapeleleza ili wanipe bei halisi wanayo nunulia wao bila ya kuninyonya km nitajisema moja kwa moja. Mambo yakiwa sawia nitakujuza na hata contacts zao nitakupatia.
Nnazo mbili whatsap ni voda nkutumiaShukrani, ila number yako mbona sijaipata kwa WhatsApp