Nipo mwanza leo - wa mwanza mpo?

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
13,153
Reaction score
10,670
Wadau wapendwa, leo nimeingia mji wa Mwanza na kwa furaha kubwa saaana tu kuna yeyote aliye mwanza tutafutane jamani??

kituko ni kwamba nimekutana na sewerage inajengwa ukitoka tu airport, furaha iliyoje kupokelewa na hili jambo
 
maendeleo hayo kaka...fikiria kabla ya hapo mambo yamekuwaje!..Mwanza watu kibao, we tulia utawaona ukiwaelekeza ulipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…