Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Apr 13, 2010 #1 Wadau wapendwa, leo nimeingia mji wa Mwanza na kwa furaha kubwa saaana tu kuna yeyote aliye mwanza tutafutane jamani?? kituko ni kwamba nimekutana na sewerage inajengwa ukitoka tu airport, furaha iliyoje kupokelewa na hili jambo
Wadau wapendwa, leo nimeingia mji wa Mwanza na kwa furaha kubwa saaana tu kuna yeyote aliye mwanza tutafutane jamani?? kituko ni kwamba nimekutana na sewerage inajengwa ukitoka tu airport, furaha iliyoje kupokelewa na hili jambo
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Apr 13, 2010 #2 maendeleo hayo kaka...fikiria kabla ya hapo mambo yamekuwaje!..Mwanza watu kibao, we tulia utawaona ukiwaelekeza ulipo!
maendeleo hayo kaka...fikiria kabla ya hapo mambo yamekuwaje!..Mwanza watu kibao, we tulia utawaona ukiwaelekeza ulipo!