Nipo Mwanza natafuta kazi, nilisoma mpaka kidato cha tano

Nipo Mwanza natafuta kazi, nilisoma mpaka kidato cha tano

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Wasalaam ndugu zangu katika jukwaa hili...

Mimi ni kijana wa miaka 24 nipo mwanza manispaa ya ilemela ñaomba mwenye nafasi yoyote ya kazi sehemu yoyote na mahali popote nipo tayari kufanya kaz elimu yangu ni kidato cha nne nilibahatika kufika mpk kidato cha tano lkn sikuweza kumaliza kutokana na changamoto za ada,kidogo nina ujuzi katika land surveying na pia kwa wale wa umeme wa vijijini (REA) Naweza kufanya as built na designing

Hzo ni baadhi ya Kaz nazoweza kufanya lkn ñaomba nirudie kusema kwamba nipo tayari kufanya kaz yyt ile na mahali popote kama ikipatikana....

shukran sana ñaomba kuwasilisha🙏
 
Back
Top Bottom