Nipo Mwanza sasa, natafuta mwanamke

Nipo Mwanza sasa, natafuta mwanamke

Natafuta mwanamke,msafi msiri,asiwe mke wa mtu,ili nispendi nae kwa wiki 2,kila kitu kwa gharama zangu.asiwe malaya anayejiuza,asiwe mlevi wa kupindukia,awe anayejitambua,akiwa mjasiriamali au mtumishi ni sawa,na msingi wa kuwa pamoja ni furaha,amani,starehe
Mbona bado unamtafuta MALAYA halafu unasema asiwe MAYALA
 
Ume sahau kusema asiwe ana dudu...usije kuliwa wewe badala ya kumla
 
Kaa na dada zako, pamoja na mama yako mzazi, kisha waulize hilo swali.

Usisahau kutuletea mrejesho!
Nakujulisha nimepata dada mmoja ni mlemavu ana mguu mmoja tu,ni graduate wa hr ila anauza samaki.ndio nipo nae,kila siku mida ya aaa 11 jioni namuendea kwenye kijiwe chake na tunakuja hapa hotelini kwangu
 
Back
Top Bottom