Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Nawatakia waislamu wote Eid njema
Eid Al Adh
KaribuKhair Mubarak.
Ila leo wanyama wamechinjwa sana. Tunaomba mualiko ππππ
Makafara kama yootèKhair Mubarak.
Ila leo wanyama wamechinjwa sana. Tunaomba mualiko ππππ
Kuchinja mnyama ni kafara? Wakristo wa uyole mshida sana, kawaulize wenzio wa Vatican kama hawachinji wanyama kama ishara ya sadakaMakafara kama yootè