Nipo nawaza...

Nipo nawaza...

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.

Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo safarini Ile hali amazing ( Ooh.. my.. God!!)haikai kwa muda mrefu!!! Ujue ingekaa angalau hata sekunde 120 ungekuwa unyama.
Mimi Huwa inalast to 15-25sec

Anyways Jana metolewa mahari nusu., mahari iliyobakia ameahidi kumalizia at the end of this month (by the grace of God)
Na hapo ndipo tarehe ya harusi itapopangwa.
Mahali nilimwambia anipe 10M YEYE akasema atanipa 7M.
Ni hayo..
 
Barikiwa sana Binti.

20240605_194652.jpg

Matembele/SalivaFront
 
Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.
Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo safarini Ile hali amazing ( Ooh.. my.. God!!)haikai kwa muda mrefu!!! Ujue ingekaa angalau hata sekunde 120 ungekuwa unyama.
Mimi Huwa inalast to 15-25sec

Anyways Jana metolewa mahali nusu., mahali iliyobakia ameahidi kumalizia at the end of this month (by the grace of God)
Na hapo ndipo tarehe ya harusi itapopangwa.
Mahali nilimwambia anipe 10M YEYE akasema atanipa 7M.
Ni hayo..
Mwa J nae alianzaga kama hivi mbwa yule aise pona uti grade one...☹️
 
Back
Top Bottom