lufakale
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 321
- 566
Hivi kati ya mchungaji na mchungwaji ni yupi anatakiwa kunenepa na kunawili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kati ya mchungaji na mchungwaji ni yupi anatakiwa kunenepa na kunawili?
Mahali mnakaa nyieb wawili mnabagain?Hapo hakuna ndoa ,ikifungwa itavunjika tu.Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.
Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo safarini Ile hali amazing ( Ooh.. my.. God!!)haikai kwa muda mrefu!!! Ujue ingekaa angalau hata sekunde 120 ungekuwa unyama.
Mimi Huwa inalast to 15-25sec
Anyways Jana metolewa mahari nusu., mahari iliyobakia ameahidi kumalizia at the end of this month (by the grace of God)
Na hapo ndipo tarehe ya harusi itapopangwa.
Mahali nilimwambia anipe 10M YEYE akasema atanipa 7M.
Ni hayo..
Mnooo....mimi kama mama mkwe sikubaliani na hilo labda kama binti aniambie hawawi mwili mmoja...Kweli mkuu. 10M parefu.
Wehu msinizoeeUna kuja kwa kasi sana ume amua kumrith Unique Flower au katoto kazuri kwa kuandika upupu daily
Umeona kama mimi, hakuna muolewaji hapa mwanetu amechoma kibunda 7M. Tutamchapia sana.Hebu amka mwayaa!! Ndoa zina wenyewe, na wenyewe sio wee.
Poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama sealed ni ushenzi
Namkandiaje sasa...ww hizi milioni 10 unazo?.fufanye ndo wewe yani unaenda kuoa..hapa nawazungumzia..kaka zangu..watoto wangu wa kiume baadae...Wanawake bhana, unamkandia mwenzako😂
Namkandiaje sasa...ww hizi milioni 10 unazo?.fufanye ndo wewe yani unaenda kuoa..hapa nawazungumzia..kaka zangu..watoto wangu wa kiume baadae..
😊 😊 😊 😉😉😉Nimekuelewa! Sasa hela ni ya mwanao ya kwenda kutoa mahari, wewe macho yanakutoka ya nini?
Pesa ya kawaida kabisa hiyo!
Kubabake JF..!! JF sihami ng'weeeeeeeeeeeeeeeee...!!Kwahiyo mshatiana kabla ya ndoa Mkuu?