Nipo nawaza...

Nipo nawaza...

Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.

Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo safarini Ile hali amazing ( Ooh.. my.. God!!)haikai kwa muda mrefu!!! Ujue ingekaa angalau hata sekunde 120 ungekuwa unyama.
Mimi Huwa inalast to 15-25sec

Anyways Jana metolewa mahari nusu., mahari iliyobakia ameahidi kumalizia at the end of this month (by the grace of God)
Na hapo ndipo tarehe ya harusi itapopangwa.
Mahali nilimwambia anipe 10M YEYE akasema atanipa 7M.
Ni hayo..
Mahali mnakaa nyieb wawili mnabagain?Hapo hakuna ndoa ,ikifungwa itavunjika tu.
 
Hii ndoa itakua ngumu sana kama Mke ndo wewe, labda kama muoaji ni Mfaza asie na time ila kutia mimba na kuhudumia tu.
Ila kama ni kijana bila kujali ni Mtumish au Mnyama basi kesi zitakua nyingi sana🤣
 
Nafikiri zingefika dakika tano kungekua na uwezekano wa kuzimia ama kuchaganyikiwa..... zaidi sana jamaa aliyelipa 7M kwa mdada anayeuliza hili swali ni uonevu😂
 
Nimekuelewa! Sasa hela ni ya mwanao ya kwenda kutoa mahari, wewe macho yanakutoka ya nini?

Pesa ya kawaida kabisa hiyo!
Namkandiaje sasa...ww hizi milioni 10 unazo?.fufanye ndo wewe yani unaenda kuoa..hapa nawazungumzia..kaka zangu..watoto wangu wa kiume baadae..
 
Back
Top Bottom