Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
SawaPole mkuu jitahidi upate right words za kujieleza how you feel itakuwa poa
hebu semayani leo nipo nipo tu...
nani yupo yupo kama mimi???....
am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile....
i wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika...
Shukuru aliyekuumba !!yani leo nipo nipo tu...
nani yupo yupo kama mimi???....
am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile....
i wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika...
Wapi Upo ? Nije tupige storyyani leo nipo nipo tu...
nani yupo yupo kama mimi???....
am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile....
i wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika...
kashushe bendera ya taifa kituo cha polisi kisha ukimbie nayo usipochangamka basi tenayani leo nipo nipo tu...
nani yupo yupo kama mimi???....
am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile....
i wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika...
kashushe bendera ya taifa kituo cha polisi kisha ukimbie nayo usipochangamka basi tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna issue inatakiwa ikamilike this week na bado hata sijaianza...sijui ndo sababu...hata sielewihebu sema
Kitu gani hakijafanyika na ulitamani kiwe vile
Ndo inavokuaga first time?walio kwenye period utawajua tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Amina.....asanteShukuru aliyekuumba !!
Umeamka asubuhi na kuvuta pumzi safi,umzima wa afya, macho yanaona mwaaaah !!
Shukuru.. kuna watu wapo ICU, kuna wagonjwa kuna waliyofiwa wana simanzi...
Kuna waliyopo jela .. wapo wenye kesi zimeatinga... nk nk nk nk
hebu jirudi nafsi yako !! Uwe mtiifu kwa muumba wako..